MKUTANO WA MZEE KINGUNGE ATANGAZA RASMI KUACHANA NA CCM
Anasema
kamati kuu haiwezi kusema watu watano au sita ni hawa bila
kuwasikiliza, kilichotokea mwaka huu ni tofauti kabisa kilichotokea
mwaka 1995, safari mwenyekiti ni Jakaya Kikwete, kilichotokea ni jambo
kubwa katika historia yetu na mimi katika historia yangu pale ambapo
naona kwamba katiba inavunjwa nimekuwa na tabia ya kusema waziwazi na
kuwaambia wenzangu si sawa.
No comments:
Post a Comment