Mgombea mwenza kutoka chama cha mapinduzi CCM Bi. Samia Salum Suluhu
akiwa katika mkutano Sengerema. Bi. Samia Salum Suluhu amezidi
kukubalika na wakina mama, ameahidi kuhakikisha Wakina mama wanapata
haki zao za msingi. Ameahidi kushirikiana vizuri na Mgombea Urais Dkt.
Magufuli kuhakikisha watanzania kwa ujumla wanapata maendeleo ya kweli
bila kubagua Chama, Kabila wala Dini.
No comments:
Post a Comment