17 October 2015

MANENO YA MWISHO YA MAREHEMU MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE

Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua meya wa Ilala Jerry Silaa.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname