Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta iliyotokea jana Jioni .
Shuhuda wa ajali hiyo ambaye anamiliki kitalu cha uwindaji na kwamba game guide wao ndiye aliyeona ajali ikitokea na kuwaka moto mkubwa majira ya saa 11 na nusu jioni wakati ikitaka kutua katika airstrip yao Msegule Airstrip Na baadae kuitaarifu TAA.
No comments:
Post a Comment