Issa Mnaly na Musa Mateja
MAKUBWA
tena! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akijinasibu kuwa mtoto
Latiffa ‘Tiffah’ ni damu yake, pedeshee maarufu Bongo, Muzamil Katunzi
ameibuka na kumtaka staa huyo wa Bongo Fleva kupima kipimo cha vinasaba
(DNA) ili kujiridhisha kama kweli ni damu yake, Risasi Mchanganyiko lina
mchapo kamili.
No comments:
Post a Comment