Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa.
MGOMBEA
urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,
anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imefahamika.
No comments:
Post a Comment