MAGUFULI FOR PUBLI INTEREST "M4PI" ni kikundi kisichofungamana na chama chochote katika mchakato huu wa uchaguzi. Lengo lao ni kuhakikisha wanawaongoza watu mbalimbali wanaotaka kuhama vyama vyao na kumuunga mkono Dkt. Magufuli. Wanafanya kaazi ya kuhakikisha mgombea ambaye atasimamia maslahi ya umma ndiye anakuwa mshindi katika uchaguzi huu.
Baada
ya wananchi kusikiliza na kuchambua Sera na mikakati ya wagombea mbali
mbali. Wanachama kutoka vyama vya upinzani ikiwemo CHADEMA, CUF, NCCR,
UDP... wameamua kurudisha kadi zao na kumuunga mkono Dkt. Magufuli.
Viongozi wa vikundi vya M4U na Friends of Lowasa mwanza wametangaza
ramsi kujuinga na Team Hapa kazi tu. Viongozi hao wamesema kuwa wamepewa
ahadi Hewa nyingi, kwa masalahi ya taifa wameamua kumuunga mkono Dkt.
Magufuli na kuwa wanaimani nae.
No comments:
Post a Comment