Jenerali Ulimwengu.
KATIKA
mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa
unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo
hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho
kinaweza kuwa mbali kabisa na ukweli halisia.
No comments:
Post a Comment