ACT-Wazalendo Yafuta Mikutano Yote ya Dr. Slaa Ikihofia Usalama Wake Awapo Kwenye Majukwaa ya Kampeni
CHAMA
cha ACT-Wazalendo kimekuwa na mawasiliano na Dk. Wilbrod Peter Slaa,
mwanasiasa nguli wa upinzani nchini, kuhusu uwezekano wa yeye kushiriki
katika kampeni za Chama chetu kwa lengo la kuendeleza vita dhidi ya
ufisadi nchini.
No comments:
Post a Comment