12 October 2015

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI LEO


Wana CCM wakipeperusha picha  na mabango yenye ujumbe wakati Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli alipowasili asubuhi hii katika jimbo la Nachingwea Mkoani Lindi kwaajili ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akipewa maelekezo mda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa kampeni kuanza leo asubuhi  mkoani Lindi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname