Musa Mateja na Imelda Mtema
MASHINDANO ya Bongo Star Search (BSS) 2015, wikiendi iliyopita yalifikia tamati huku historia ya kwanza ikiwekwa na kijana mwenye umri wa miaka 19 tu, Kayumba Juma aliyeibuka kidedea kwa kuwatupa wenzake 6 waliofaulu kuingia fainali na licha ya shughuli hiyo kumalizika salama, lakini kilichojificha nyuma ya pazia kimefichuka.(katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa. Fainali hizo zilifanyika Oktoba 9, mwaka huu kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar huku zikishuhudiwa na maelfu ya wakazi wa jiji, burudani zilikuwa kibao siku hiyo ambapo zilianza saa 3: 30 usiku zikifunguliwa na mkali wa miondoko ya R&B, Bongo, Bernard Paul ‘Ben Pol’.
No comments:
Post a Comment