20 October 2015

DK.MAGUFULI: NDUGU ZANGU ACHENI UVUVI HARAMU UNAMALIZA SAMAKI


????????????????????????????????????
Msafara wa mgombea wa Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukishuka kwenye kivuko cha Kamanga  wilayani Sengerema mkoani Mwanza  wakati mgombea huyo alipowasili wilaya ya Sengerema kwa ajili ya mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Buchosa na Geita Vijijini ambapo amewahutubia wananchi katika mikutano miwili mikubwa ambayo imefanyika katika miji ya Nyehunge wilayani Sengerema  na Nkome mkoani Geita. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname