11 October 2015

LOWASSA Akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, Watu Hawa Nawaonea Huruma Sana!

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname