05 October 2015

KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA KIMEZUA UTATA..BAADHI WADAI AMEUAWA


KIFO cha Mchungaji Christopher Mtikila (65) aliyezaliwa mwaka 1950, kimezua utata ambapo baadhi ya watu wa karibu na mwanasiasa huyo wanadai kwamba ‘ameuawa’.
Akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, mmoja wa watu hao amesema licha ya Jeshi la Polisi nchini kusema kwamba kifo hicho kilichotokana na ajali iliyosababishwa na mwendo kasi, lakini kuna kila dalili za ‘mkono wa mtu’ kutokana na harakati za mwanasiasa huyo katika masuala ya kijamii, kitaifa na kimataifa. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname