05 October 2015

KAULI NZITO YA ASKOFU GWAJIMA AKIMLIPUA ABDALLAH BULEMBO

Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Rev. Josephat Gwajima ametoa Onyo kali kwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM (taifa), bwana Abdallah Bulembo kwa kulitaja jina lake katika mkutano wa kampeni za CCM huko Singida. 

BOFYA HAPA KUMSIKILIZA GWAJIMA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname