HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA
Mkutano
wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea
katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya
leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA
NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.
No comments:
Post a Comment