Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifunua vitambaa kuashiria kuanza
ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta nchini
Kenya Octoba 4, 205.Rais Kikwete leo ameanza ziara ya kikazi ya siku
tatu nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment