Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya
jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo
kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na
canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya
CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa
CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la
bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.SOMA ZAIDI


No comments:
Post a Comment