September 21 2015 story
kwenye headlines ilikuwa party ya mtoto Tiffah, mtoto waDiamond Platnumz
na mpenzi wake Zarina Hassan aka Zari the Boss Lady.. party nyingine
ilikuwa jana hapohapo nyumbani kwa Diamond, nimezipata pichaz na nimeona
nizisogeze hapa na wewe usipitwe na hii !!
Diamond pamoja na ndugu
zake na baadhi ya washkaji zake wa karibu walikutana kwa ajili ya
sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond Platnumz mwenyewe.
Diamond Platnumz na Producer Tudd Thomas wakicheki kitu kwenye simu.
No comments:
Post a Comment