13 October 2015

BALOZI JUMA MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA WA CCM


TAMKO RASMI LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU.
NAJIVUA UANACHAMA WA CCM
Ndugu zangu,
Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita. Nadhani ni siku mwafaka kwangu kufanya maamuzi magumu katika maisha yangu ambayo yanahusu uanasiasa wangu. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname