07 October 2015

BAA ZAIDI YA NNE ZASHIRIKI PROMOSHENI YA TUSKER FANYAKWELI KIWANJANI WIKI HII

Mpenzi wa bia ya Tusker Cloud Opson (29) (katikati) akionyesha zawadi yake ya fulana kwenye hafla ya kuzipongeza baa nne (4) zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. Akikabidhi zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ukonga na Chanika Tesha Stanslaus

Mkazi wa Majohe (Kwa ndevu) na mpenzi wa bia ya Tusker Catherine John akiizungumzia bia hiyo na kutaja sababu za kwanini anaifurahia wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo wiki hii ilifanyika katika baa zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. (Kulia) ni mkazi wa Banana Eva Fred, (Kushoto) ni Balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi, Mshereheshaji wa Kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner G. Habash na balozi wa bia hiyo Mariam Ally.

Mkazi wa Airport (Paschal Luambano) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ukonga na Chanika Tesha Stanslaus wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo wiki hii ilifanyika katika baa zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart.

Mpenzi wa bia ya Tusker na mkazi wa Ukonga jijini Dar es salaam Felix Gilbert 48 (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (Kulia) na balozi wa bia ya Tusker Dida Ramadhani (Kushoto) ndani ya baa ya Blue Sky ambapo promosheni ya promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilifunga kambi wiki hii katika kuzipongeza baa zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart.

Mkurugenzi wa Exuper Environmental consultants Kinabo Expery (katikati) ambaye pia ni mkazi wa Banana Ukonga akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (kulia) na balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (Kushoto). Zawadi hiyo ilitolewa wakati wa hafla ya kuzipongeza baa zilizo kwenye mkondo mmoja za Banana Ukonga jijini Dar es salaam ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Baa zilizoshinda ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname