Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
USHIRIKI wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika vita vya kumng’oa Nduli Idd Amin wa Uganda mwaka 1978/79 umeibua gumzo kufuatia madai ya katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yussuf Makamba kushabihiana na ya Makongoro Nyerere aliyedai kuwa hakuwahi kumwona mstari wa mbele.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:
Post a Comment