Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na
wanachama wa CCM na wananchi wa Ufunguzi wa kampenzi za CCM
zilizofanyika leo katika uwanja wa Gimbani yakale Wilaya ya chakechake
Pemba,
PICHA ZOTE NA IKULU.
Mgombea Urais kwa kipindi cha pili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha ilani ya chama
wakati wa Mkutano wa Hadhara wa ufunguzi wa Kampeni za Chama hicho
katika Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Pemba leo.
No comments:
Post a Comment