16 September 2015

MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA SIKONGE,KALIUA,ULYANKULU NA URAMBO MKOANI TABORA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt
Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia
wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni.
 
PICHA NA MICHUZI JR-URAMBO,TABORA
  Wakazi wa mji wa Kaliua wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname