Shuhudia Sherehe ya 40 ya PRINCESS TIFFAH wa DIAMOND na ZARI Ilivyokua!
Zimeshatimia siku 40 toka mtoto wa Diamond Platnumz na Zarinah Hassan
azaliwe, anaitwa Tiffah…. ambapo siku hii kubwa ilikumbukwa na nyumbani
kwa Diamond watu mbalimbali wakaalikwa kama ilivyo kwenye utaratibu.
No comments:
Post a Comment