MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea
mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika
mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na
Francis Dande)
No comments:
Post a Comment