MAMBO 5 AMBAPO LOWASSA AKIANGUKA
WAKATI siku 32 zikiwa mbele kuufikia uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka
huu, tegemeo kuu la mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),
Edward Lowassa ni kutokea kwa mambo matano endapo ataanguka kwenye
kinyang’anyiro hicho, Uwazi limechimba.
No comments:
Post a Comment