16 September 2015

KAULI ZA MBATIA AKIHTUBIA KUPITIA RUNINGA USIKU HUU


- Mbatia analalamikia vitisho vya Mgombea wa CCM, Magufuli kuwa wakiwachagua wapinzani nchi itaingia kwenye machafuko
- Mbatia: Watu wameanza kupoteza maisha, wana UKAWA wanadhalilishwa na wengine kutekwa
- Mbatia: Hali imeanza kuwa tete, vitisho vya kila aina vimeanza. Tumedhalilishwa sana, tumeitwa matusi ya kila aina. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname