23 September 2015

LOWASSA TUNAKUTAKA WEWE, LAKINI MBONA UKO KIMYA? WANAKUSEMA SANA LAKINI WEWE HUJIBU KUNANI?


Amekutaja na kukusema kimafumbo, Prof. Lipumba wa CUF, umekaa kimya. Hukutoka kujibu. Akakusema kimafumbo rafikiyo pale Viwanja vya Jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni zetu, ukanyamaza. Alikuita kuwa una makandokando.Amekutaja Dr. Slaa aliyekuwa CHADEMA na kukutupia makombora ya hasara lakini umekaa kimya. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname