22 September 2015

Kuhusu mkanda wa ngono wa Lil Wayne na atakachofanya ukisambazwa.

lil-wayne-sex-tape-composite-3
Rapa Lil Wayne na timu yake ya wanasheria imetishia kuwashtaki watu wanaotangaza mpango wa kuuza na kusambaza mkanda wa ngono ambao inasemekana rapa huyu anaonekana akiwa na wanawake wawili.
Mtu mwenye mkanda huu hajajulikana bado ila amesha wasiliana na makampuni ya kutengeneza mikanda ya ngono nchini Marekani.
Wawakilishi na wasemaji wa Lil Wayne wamesema kama mkanda huu upo basi ulirekodiwa bila Lil Wayne kujua na kwamba hauwezi kutolewa bila ithini yake na lolote litakalotolewa watachukua hatua za kisheria.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname