Mgombea
urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya CHADEMA na UKAWA, Bw. Edward
Lowassa ameendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Bw. Lowassa
jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es
Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:
Post a Comment