EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU KESI YA UBAKAJI
Mahakama
ya Ilala, Dar imemwachia huru Emmanuel Mbasha leo Jumatatu Septemba 21,
2015 baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa la ubakaji
dhidi yake.Itakumbukwa mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa
injili na mfanyabiashara alifunguliwa mashataka mawili mahakama ya Ilala
kwa makosa mawili ikiwemo la ubakaji.
No comments:
Post a Comment