MGOMBEA
wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward
Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Amezidi
litikisa Taifa,
Baada ya leo Kuutikisa mkoa wa Singida na
Viunga Vyake huku mkoa huo,shughuli zote zikiwa zimesimama ili kumpokea
lowassa,kama ambayo unaona kwenye picha hizo
No comments:
Post a Comment