24 September 2015

LOWASSA AMENIFANYA NIMCHUKIE MWANAMUZIKI DIAMOND PLATINUMS

Kati ya mashabiki waliokuwa wakikupigania huku mtaani Ni mm!
Kati ya mashabiki waliokuwa wakiperuzi page zako za facebook,instagram na tweeter kila saa Ni Mimi!
Kati ya shabiki ambaye nili kuwa nikiwachukia wabaya wako tena labda zaidi ya ulivyokuwa uliwachukia wewe Ni Mimi!Kila nilipokua nikisikiliza habari zinazo kuhusu nilikua napata mvuto WA ajabu kuzisikiliza!


Hadi huku mtaani walikua wananitania eti mm Ni msemaji WA diamond!
Hata hapa jamii forums nilikua nakutetea Sana katika post zilizo kua zinakuponda,lakini dah kwa sasa naona bora Tu wakuponde!
Sababu Kuna jambo ambalo umelifanya yaani NATURALLY nimejikuta naanza kutovutiwa na wewe,sina stimu tena yaani najikuta Tu sivutiwi na staffs zako sio Kama napenda ila najikuta Tu.
Mfano nina Kama mwezi sasa sijui ishu zako maana nimeacha kukufatilia;kila nikitaka kufanya hivyo najickia hivyoo Tu!
Yaani hii ishu inatokea Tu automatic!
Sababu kubwa ya Mimi kuingiwa na hali hii Ni pale nilipo ona Kama msanii wangu nayekuthamini umeshindwa kujali hisia zangu za kisiasa.
Mi nadhani Kama ungekua unajua kuwa ilikupasa hata Kama unafanya kazi za chama flani nadhani ilikua poa ungezifanya Kama kazi lakini kitendo cha kuanza kujihuaisha na ushabiki WA kisiasa kwa kuanza kuuponda upande flani WA siasa bila kujali hisia za mashabiki zako tena wale WA damu umekosea mkuu.
Hisia zako za kichama ungebaki nazo moyoni mwako;kumbuka wewe Ni star mkubwa hapa nchini epuka kutengeneza confront za kihisia za mashabiki zako.
Kama management. Yako haikuliona Hilo mi nadhani hakukuwa na ulazima WA wewe kuanza kukandia upande flani kwa kejeli.
Una haki kuwa na chama ukipendacho lakini ungetumia busara katika kuwasilisha hisia zako hizo mbele ya uma.
Ukweli umenikwaza naamini hata wengine walio Kama Mimi watakua wamekwazika poa!
Epuka kuwauwa mashabiki zako kwa sababu ambazo zingekwepeka!
Sijajisikia poa!Isn't the same again.

By Nyuli/JF

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname