Watu wanaodaiwa kuanguaka
kwa imani za kishirikina wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye gari la
polisi.Watu Watatu ambao hawajajulikana majina yao jinsi ya kiume
wamekutwa wameanguka katika kijiji cha Utiga wilayani Wanging'ombe
mkoani Njombe kwa imani za kishirikina.
Watu
hao ambao hawajafahamika mara moja wanakotoka wanadaiwa kuwa walikuwa
safarini kuelekea Songea Mkoani Ruvuma lakini walipofika katika kijiji
hicho ndipo walipoanguka.
Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe
No comments:
Post a Comment