Imelda Mtema
KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa picha hazipandi, staa wa filamu Kajala Masanja, mwishoni mwa wiki iliyopita alimmwagia ‘minoti’ mingi Zarinah Hassan ‘Zari’ wakati wa hafla ya kutimiza siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto wake Tiffah.Mwigizaji Kajala Masanja pamoja na shoga yake wakiwa kwenye shughuli hiyo.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:
Post a Comment