Hatimaye kesi nzito na ngumu iliyokuwa ikimkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha ya kumbaka shemeji yake, imemalizika juzi kwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Ilala kumwachia huru na yeye mwenyewe kutamka kuwa Mungu ametenda!
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment