Mpenzi wa bia ya Tusker Bi. Naomi
Mahela akizungumza na Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli
Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) baada ya kupokea zawadi yake ya fulana, mfuko
pamoja na zawadi ya bia toka kwa balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi
(kulia) pale promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilipofunga kambi katika
kiwanja cha baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam. Baa hiyo
iliibuka baa ya wiki kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na bia ya Tusker
yenye lengo la kuzihamasisha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya
kweli kwenye utoaji huduma kwa wateja. Promosheni hiyo inaendelea pia katika
mikoa ya Arusha, Mwanza, Moshi, Morogoro na Mbeya. |
No comments:
Post a Comment