23 September 2015

KIFAA CHA KUPIGIA PICHA VIDEO CAMERA EROPLAIN (DRONE) CHAZINDULIWA ZANZIBAR.


01
Mkurugenzi wa Mipango miji na Vijiji Dk,Mohd Juma mwenye suti akionesha ramani zilizopigwa zamani kwa kutumia ndege katika Uzinduzi wa Kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone) kwa ajili ya kupata ramani mpya na kufikia malengo ya kutoa huduma kwa Dijital zanzibar.
03
Afisa Mipango miji wa Manispaa ya Kinondoni Daresalaam Deogratias akiwa na kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa marefu katika uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname