Jina
lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata
majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji
ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama
Mtangazaji wa show ya Entertainment,XXL ya Clouds FM.
No comments:
Post a Comment