05 September 2015

GODBLESS LEMA NA WENZAKE WA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA NA HIKI NDICHO KISA KILICHOMUWEKA NDANI

Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana leo baada ya kushikiliwa na polisi tangu jana. 
Polisi mkoani Arusha walimkamata mwanasiasa huyo pamoja na watu wengine wanne jana jioni mara baada ya kuzindua kampeni yake ya kuwania ubunge katika jimbo hilo kwa awamu ya pili katika Shule ya Msingi Ngarenaro.  

BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname