05 September 2015

DK. SLAA AWAVAA MAASKOFU WALIOJITOKEZA KUMJIBU KUHUSU KUHONGWA NA LOWASSA

Aliyekuwa Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa amedai kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya maaskofu kujitokeza kujibu hoja yake juu ya maaskofu kuhongwa bila kusikiliza hotuba yake.Akizungumza katika kipindi cha mahojiano maalam, 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname