05 September 2015

SHIGONGO AMLIPUA HADHARANI KIONGOZI WA JUU KABISA UKAWA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo amemuandikia barua mheshimiwa James Mbatia.
Mtunzi huyo mahiri wa riwaya nchini Tanzania ameandika barua mwenyekiti mwenza huyo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kujadili masuala mbali ya kisiasa kuhusiana na mwanasiasa huyo.Shigongo aliandika barua kupitia ukurasa wake wa Facebook, inayosomeka kama ifuatavyo;

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname