Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod
Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa
mapumziko.Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa amekwishandoka nchini
kuelekea Marekani pamoja na familia yake tangu jana jioni.Huku akiwa
Marekani kupumzika na kujiendelea katika kozi fupi katika tasnia ya
Sheria na Lugha, Dk. Slaa amesema nyumba yake itakuwa chini ya ulinzi wa
Jeshi la Polisi.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA LIVE
BOFYA HAPA KUSIKILIZA LIVE
No comments:
Post a Comment