Mwanasheria
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando,amelazwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam, huku
hali yake ikielezwa kuwa tete baada ya kuugua ghafla juzi nyumbani
kwake.Marando ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema, amelazwa
katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete hospitalini hapo kwa ajili ya
kupata matibabu.
No comments:
Post a Comment