Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na
wanachama wa CCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika leo katika uwanja wa Black wizard Chokocho jimbo la uchaguzi
la Mkoani Wilaya ya Mkoani Pemba,
PICHA ZOTE NA IKULU.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea
wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein
akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Wananchi na Wanachama wa CCM
jimbo la Mkanyageni katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika
katika uwanja wa mpira Black wizard leo Chokocho,
No comments:
Post a Comment