Diamond Platnumz afikisha followers milioni #1 kwenye mtandao wa instagram.
Mtanzania Diamond Platnumz amejiunga na wasanii Wanigeria Davido na
Wiz Kid waliofikisha followers milioni moja kwenye mtandao maarufu wa
kijamii a Instagram. Diamond amefikisha namba hii usiku wa kuamkia
September 9 2015.
No comments:
Post a Comment