Hivi sasa Edward Lowassa anaingia ukumbini akiwa akiambatana na John Mnyika, Freeman Mbowe, Salum Mwalimu.
Tayari
wamekaa meza kuu na wanasubiri kupewa ratiba. Mshehereshaji anamsifia
Lowassa na kuwaambia wajumbe kuwa mabadiliko ni sasa. Wajumbe wanashilia
na kusema Rais ni Lowassa 2015 -2020.
Wajumbe wanasimama na kuimba
wimbo wa Taifa na baada ya wimbo wa Taifa unaoimbwa na timu ya Movement
for Change viongozi wa dini watasimama na kutoa salamu.
No comments:
Post a Comment