04 August 2015

MAJAMBAZI 4 YAUAWA NA POLISI MBEYA YAKIJARIBU KUPORA DUKANI

majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname