03 August 2015

BALOZI JUMA MWAPACHU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU EDWAED LOWASSA

Kauli ya Juma Volter Mwapachu Kuhusu Lowassa

Nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika mabadilishano ya fikra kwenye mtandao huu ambao kwa hakika, kwa maoni yangu, haubidi kuwa ni wa fikra pevu zisizo shawishika na misimamo ya 'kimalaya ya siasa'.
 Kama tutaserereka katika msingi huu, basi ni bora Chambi ukafunga virago na kusitish huu mtandao. Nimesoma mabadilishano na mabishano ya fikra kuhusu hali ya siasa nchini mwetu na hususa ni baada ya Mhe Lowassa kuamua kujiunga na Chadema na kuwa mwakilishi wa UKAWA katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. Sijui nyie wenzangu  mmesimamia wapi katika suala hili.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname